Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,365
- 31,517
Kuna mwingine Nicolas suguye anapatikana matembele ya pili...yaani ni shida..nilionaga kwenye tv watu wanaambiwa watapike basi wanajigoa wanatema mimate Hadi nikahisi kichevuchevu

😆 😆 😆 kwa kweli nimeiangalia mara tatu doh Pastor Ng'ang'a full vichambo rubbish hahahaPastor Ng'ang'a Nairobi ndiye habari ya East Africa kwa sasa hebu msikilize video hii hakika utairudia hata mara saba!!
View attachment 1117018
Sijui kakobe aka tortoise ,hakuna cha mama rwakatale sijui gwaji boy au huyu Mzee Wa upako na ulabu ni muda wa mwamposa mji mzima umehamia huko.
Jamaa anamafuta sijui yanatoka wapi.anamagazeti sijui ndio mambo gani achilia mbali maji ya upako.
Wahitimu walikosa ajira,walikosa watoto,wanaotaka vyeo,wanataka kupandishwa madaraja, wenye magonjwa yasiyo na tiba ,wanataka ndoa na kupata wenzi wote wamehamia huko
Jamaa amajaza kama wote vile
Hongera zake ni kupiga pesa ndio muda kabla wengina hawajaibuka
Kila nabii na muda wake
Ukifika wakati wa Yesu uni tagSijui kakobe aka tortoise ,hakuna cha mama rwakatale sijui gwaji boy au huyu Mzee Wa upako na ulabu ni muda wa mwamposa mji mzima umehamia huko.
Jamaa anamafuta sijui yanatoka wapi.anamagazeti sijui ndio mambo gani achilia mbali maji ya upako.
Wahitimu walikosa ajira,walikosa watoto,wanaotaka vyeo,wanataka kupandishwa madaraja, wenye magonjwa yasiyo na tiba ,wanataka ndoa na kupata wenzi wote wamehamia huko
Jamaa amajaza kama wote vile
Hongera zake ni kupiga pesa ndio muda kabla wengina hawajaibuka
Kila nabii na muda wake
Peponi ndio wapi?Kati ya watu elfu moja wanaokufa mtu 1tu ndie anaingia mbinguni,njia ni nyembamba sana.wengi tunapenda njia ya pana ya mkato ya jehanam.
Kuna siku nilienda pale nikahesabu kwa haraka haraka kuna sadaka kama saba.....mafuta, maji, gazeti, kuchangia ujenzi, sadaka ya shukrani, sadaka ya kawaida na mchango kwa ajili ya redio.
Ila hata siachi kwenda mweee
Naenda Mkuu nisikatae ingawa sio Jumapili zote ila huwa naenda.Sadaka saba na bado unaenda tu?
Sijui kakobe aka tortoise ,hakuna cha mama rwakatale sijui gwaji boy au huyu Mzee Wa upako na ulabu ni muda wa mwamposa mji mzima umehamia huko.
Jamaa anamafuta sijui yanatoka wapi.anamagazeti sijui ndio mambo gani achilia mbali maji ya upako.
Wahitimu walikosa ajira,walikosa watoto,wanaotaka vyeo,wanataka kupandishwa madaraja, wenye magonjwa yasiyo na tiba ,wanataka ndoa na kupata wenzi wote wamehamia huko
Jamaa amajaza kama wote vile
Hongera zake ni kupiga pesa ndio muda kabla wengina hawajaibuka
Kila nabii na muda wake
Usisahau sadaka ya kujimaliza..Kuna siku nilienda pale nikahesabu kwa haraka haraka kuna sadaka kama saba.....mafuta, maji, gazeti, kuchangia ujenzi, sadaka ya shukrani, sadaka ya kawaida na mchango kwa ajili ya redio.
Ila hata siachi kwenda mweee
Hospitali kumwona daktari mbona huwa unalipa je ni ujinga?Kumuona ni Tsh ngapi? Wajinga ndio mnaoliwa
Wanakoishi mapepoPeponi ndio wapi?
kumbe na wewe ni pepo?Wanakoishi mapepo