PreGE2025 Ni yapi matumaini ya watia nia wa CHADEMA?

PreGE2025 Ni yapi matumaini ya watia nia wa CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Kampeni ya No Reforms, No elections imepata upinzani ndani na nje ya chama cha Chadema.
Ndani ya Chadema, kuna kundi ambalo linaona kabisa kuwa kampeni hii itawatoa kwenye malengo yao ya kisiasa na hivyo kumshinikiza mwenyekiti wao TAL pamoja na makamu mwenyekiti waachane na msimamo huo ili washiriki uchaguzi.

Je, ni yapi matumaini ya watia nia wa Chadema kwenye uchaguzi huu?
Ukizingatia malengo ya kampeni ya No reforms, no election ni kuwatengenezea wagombea wa vyama vya upinzani mazingira ya usawa katika uchaguzi.

Ikumbukwe kwamba chaguzi za mwaka 2019/2020 zilikuwa na sintofahamu nyingi kama kuenguliwa kwa wagombea wa vyama vya upinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Na mwaka 2024, uchaguzi wa serikali za mitaa pia unalalamikiwa.

Je, watia nia wa Chadema wanaona mazingira ya ushindani katika uchaguzi mwaka huu yanaridhisha? Je, No Reforms, No elections ni kupoteza muda na fedha?
 
Hao ni looser ni kma wanatumika . Wenyewe wameona wakienguliwa awamu mbili mfululizo huku wafuwasi wakiumizzwa na kwa ajili ya kuwapambania

Wasitishe kampeni ili ionekane ni utapel chm kife hao wamefeli waende sehemu nyingine
 
Matumaini yao hao G55 na wenzao 200 matumaini yao ni kushinda uchaguzi wamejiandaa kushinda

Na maandalizi wameyafanya kwa muda mrefu hawajaanza leo
 
Lisu kama yeye hajajiandaa kugombea uchaguzi mkuu hiyo ni shauri yake hao wenxie G55 na wa udiwani hao 200 nchi nzima watia nia wamejiandaa kwa muda mrefu kugombea
Kwahiyo unasema wao wanatumaini No reform no election itaangukia pua na bado wapo CDM sio? waende wakagombee kupitia vyama vingine sisi tunajua 2025 hakuna uchaguzi
 
Kwahiyo unasema wao wanatumaini No reform no election itaangukia pua na bado wapo CDM sio? waende wakagombee kupitia vyama vingine sisi tunajua 2025 hakuna uchaguzi
Wataondokaje wakati hiyo no reform no election waliopitisha baraza kuu hata akidi haikutimia na kesi iko kwa msajili na akina Lisu wameambiwa wajibu malalamiko kuwa hayo maamuzi na wajumbe wa kamati kuu waliopitishwa na baraza kuu walipitishwa kinyume cha katiba ya Chadema

Kikao cha baraza kuu ili kiwe halali lazima kwanza kiwe na wajumbe wanaotambuliwa kikatiba na pili akidi lazima itimie kabla kupitisha lolote kuwa halali

Hayo maamuzi ya.no reform no election hayana uhalali kwa sababu hizo mbili
Sasa Lisu anakomalia kitu ambacho sio halali ndio maana watia nia wamekomaa kuwa hawatambui hicho
 
Matumaini yao hao G55 na wenzao 200 matumaini yao ni kushinda uchaguzi wamejiandaa kushinda

Na maandalizi wameyafanya kwa muda mrefu hawajaanza leo
Waende kwenye vyama vinavyo kubali kisindikiza na sio kushinda, kama unajitambua unavukaje mto wenye mamba wakati unaona wenzako waliovuka wameliwa
 
Waende kwenye vyama vinavyo kubali kisindikiza na sio kushinda, kama unajitambua unavukaje mto wenye mamba wakati unaona wenzako waliovuka wameliwa
Wao kama wao walifanya utafiti wakajua wanaweza wewe nani wa kuwazuia?

Kwa nini umuamlie mtu mwingine ambaye kajiandaa kwa muda mrefu barabara katumia resources kibao kujiandaa zikiwemo pesa halafu wewe unaibuka miezi michache kabla ya uchaguzi eti ooh no reform no election

Ndio maana Lisu sasa hivi anaitwa dikteta uchwara
 
Matumaini yao hao G55 na wenzao 200 matumaini yao ni kushinda uchaguzi wamejiandaa kushinda

Na maandalizi wameyafanya kwa muda mrefu hawajaanza leo
Kila siku Heshima ya waTanzania inazidi kupata Doa.Kama wewe ni mtulivu na hauwazi only Tumbo lako,hauwezi kujizima Data kiasi cha kutaka watanzania wajaribu Uchaguzi Mkuu 2025.
 
mbowe linaweweseka sana bado haliamini kama siyo mwenyekiti tena linafanya kila figisu ila halitafanikiwa
 
Back
Top Bottom