M mtzima Member Joined Aug 1, 2013 Posts 41 Reaction score 13 Jun 8, 2014 #1 Ni kati ya nyuki dume anaejua atakafu kwa kumpanda malkia ili kizazi kiendelee au kinyonga jike anaekubali kupokea ujauzito na anajua akijifungua atakufa,pata picha ingekuwa kwa binadamu tena hp bongo gesti zisingekuwepo
Ni kati ya nyuki dume anaejua atakafu kwa kumpanda malkia ili kizazi kiendelee au kinyonga jike anaekubali kupokea ujauzito na anajua akijifungua atakufa,pata picha ingekuwa kwa binadamu tena hp bongo gesti zisingekuwepo
N NGAMBAGE NDYANABO Member Joined Mar 7, 2013 Posts 23 Reaction score 1 Jun 8, 2014 #2 kinyonga anataga mayai.ingia kibiologia utajua ukweli