illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Naomba ninenee ukweli binafsi siyajui majukumu ya wizara hii, kwani bado naona kuna majipu mengi ambayo imeyafumbia macho tangu miaka nenda rudi kuna madudu mengi sana katika soko la ajira mfano mdogo ni wafanyakazi kulazimishwa kuwekewa mishahara yao benki fulani, au wafanyakazi kulazimishwa kuchangia mfuko fulani wa hifadhi ya jamii ambayo ni kinyume na sheria ya mahusiano kazini inavyoelekeza mawakala wa ajira bado wapo wanatunyonya makampuni ya ulinzi watu wanateseka nibalaa.
Hata baada ya serikali hii ya hapa kazi tu bado sielewi kikubwa nilichokiona ni mh waziri kuzungumzia kuhusu kuongeza udhibiti utoaji vibali kwa wageni ambapo hii haihusu wizara ya kazi pekee bali ni uhamiaji na utumishi sasa wizara hii inatusaidiaje sisi tunaopata riziki kule kwa kina kanjbai,sasa unaingia mkoa wa mara kaa kikakamavu.