Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,665
- 239,160
Wakuu naomba kusaidiwa nielewe ,
Mara nyingi nawaona waheshimiwa hawa wanazunguka kwenye vyombo mbalimbali vya habari huku wakipongeza utendaji kazi wa vyombo hivyo
Leo nimemuona Adam Kimbisa akiwa kwenye vyombo vya habari vya IPP katika mwendo huo huo wa kupongeza , Jana pia nilimuona Abdula Mwinyi kwenye vyombo vya habari vya Mwananchi ( kama sijakosea ) katika hilohilo la kupongeza .
sasa nimejiuliza , kazi hasa ya wabunge hawa nini ? majukumu yao ya kila siku ni yapi ? wanawajibika kwa nani ? mbona ni kama wanazurura tu ? wanalipwa na nani na kwanini ?