Ni kwamba hawa mbuzi walipotea, na mwenyewe akasoma albadili, kwa hiyo hata mwenyewe hawezi kuwachulua tena.
Hua nasikia sio mbuzi hao ni majini.Hawana mwenyewe wanaishi kivyao vyao mjini hapa.Nani anayeweza kuwaachia mbuzi wake huru hivyo kwa dar hii? Hua nawaona sana magomeni na hiyo picha umepiga maeneo ya karibu na magomeni mikumi.
Ya kuambiwa, changanya na yako!!!