Ni ya kisasa na inapangishwa bei nafuu

Tanzan

Member
Aug 19, 2014
40
95
Nyumba ya kisasa na yenye finishings ya hali ya juu inapangishwa Changanyikeni Mbuyuni, karibu na hostel ya Jesus Village. Ni KM 1.5 kutoka Chuo Kikuu cha Dsm na pungufu ya KM 1 kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi. Ni umbali wa kutembea kwa miguu kwenda vyuo hivyo au Mlimani City. Nyumba ni ya vyumba 3 vya kulala, kati ya hivyo 2 ni Self contained (masters), Ina sebule kubwa, Dining, foyer na jiko. Ina common toilet na bathroom zilizotenganishwa Pia ina vyoo viwili vya nje na reserve ya maji ya Lt 3000. Nyumba ina eneo kubwa la wazi la kutosha kupaki zaidi ya magari 5 na ina fence na geti. Kodi yake ni 500, 000/= na inalipwa kwa miezi 6. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana kupitia 0689 771087. Mnakaribishwa
 

Attachments

 • IMG_20160515_151120.jpg
  File size
  376.3 KB
  Views
  73
 • IMG_20160515_151140.jpg
  File size
  356.7 KB
  Views
  55
 • IMG_20160515_151214.jpg
  File size
  591.2 KB
  Views
  71
 • IMG_20160515_151405.jpg
  File size
  254.7 KB
  Views
  59
 • IMG_20160515_151417.jpg
  File size
  385.6 KB
  Views
  54
 • IMG_20160515_152033.jpg
  File size
  342 KB
  Views
  48
 • IMG_20160515_153657.jpg
  File size
  347.8 KB
  Views
  69
 • IMG_20160515_151925.jpg
  File size
  539.8 KB
  Views
  57
 • IMG_20160515_151300.jpg
  File size
  586 KB
  Views
  51
 • IMG_20160515_153726.jpg
  File size
  337.6 KB
  Views
  49
 • IMG_20160515_151726.jpg
  File size
  300 KB
  Views
  44

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom