Ni woga au?

Kumbe gari la mkaa.... trip moja porini likirudi linakaa garage mwaka mzima
 
mi nasubiri tu yale makeke ya KUFUFUA misukule,mbona watamkimbia tu
Lakini ni sehemu ya maisha ya mwadamu,lazima wakati mwingine upitie majaribu au mitihani ya kimaisha.
 
Mi nadhani ni pressure ya kufikishwa kituo cha police jana hajawahi kufika hapo
 
Ni homa tu ya kawaida wala haina uhusiano na kazi yake,maana pia kituo cha polisi sio mchezo
 
Hayo ni makali ya mkasi,mpaka utiwe video dole nyuma ndo unakata.alifikiri kondoo wake watamsaidia kwenda police badala yake kumbe wanamtelekeza...lol
 
Jamaa alivo na jina kubwa nilidhani atakuwa ana sura ya kutisha km masheikh walivo na macho mekundu
 
Polisi pasikieni hivyohivyo

Mtu unatupiwa maswali hadi unakosa balansi huku umekaa, mashariki utasema magharibi... juu unasema chini. Kijana mmoja alipigwa kibao kimoja O'Bay Polisi amtaje aliyeiba duka jirani mtaani kwao. Anasema aina ya kibao kile, kama angemjua mwizi hata kama ni ndugu yake angemtaja......
 

Na kilichomuongezea shinikizo la moyo ni kile kitendo cha kuhojiwa utajiri wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…