ni wivuu au nini tatizo

Sasa wanashikana shikana nini na kaka yake au wanajimega,
 
may be you dont share much in common...
 
Hahahaaaa, undugu wa mbaliiiiii!
Abiria chunga mzigoooooo!
 
Hivi binamu anatafunika eeeh!!
 
..Kim, ulishawahi kutafunana na binamu? Wajua mie siamini naweza lala na binamu yangu, pole

Sijawahi, ila nshasikia kesi nyingi za hivyo.
Kuna mama mmoja jirani yangu yeye aliachana na mumewe baada ya kumfuma na akimgegeda binamu.
 
Mkataze hiyo tabia .... be a man a man lazima awe na power if u dont have power to her now your dead man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…