Hivi binamu anatafunika eeeh!!
Tena hata bila chumviii.
..Kim, ulishawahi kutafunana na binamu? Wajua mie siamini naweza lala na binamu yangu, pole
Sijawahi, ila nshasikia kesi nyingi za hivyo.
Kuna mama mmoja jirani yangu yeye aliachana na mumewe baada ya kumfuma na akimgegeda binamu.
Watu mnataka kuunganisha dot hapaumesema udugu wa kwa mbali vile ehhh kama binamu ama?
Binamu nyama ya hamu....I miss nyumba kubwa na thread hiziumesema udugu wa kwa mbali vile ehhh kama binamu ama?