ni wivuu au nini tatizo

ni wivuu au nini tatizo

moreen baby

Senior Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
127
Reaction score
23
habari zenu wana mmu

mimi nina tatizo sijajua ni wivu au kitu gani naombeni msaada hii ni story ya ukweli...

mimi nina shemeji yenu nampenda saaana na yeye ananipenda sana. sasa tatizo ni kwamba shemeji yenu ana mdogo wake wana undugu ila wa mbali kidogo ......na huyo mdogo wake ni wakike na wanaishi naye nyumba moja.

tukiongozana mimi shemeji yenu na mdogo wake anakuwa bizy sana na mdogo wake unakuta wanashikana mikono wanaongea ya kwao mengi tuu kwamba wao ndio wapenzi ,mi ananisahau kabisa ila tukiachana na mdogo wake tu anaanza kunifata na mie sasa ananishika ananambia vyote kuwa ananipenda sa nashindwa kuelewa huo ni wivu au msaada tafadhali kiushauri tu...
 
Abiria chunga mzigo wako, simlaumu shemeji yetu mwache alinde mali zake, na pengine anakujua tabia zako wewe kiwembe(ni mfano tu usichukulia kivile)
 
Em ngoja... shemeji yetu ndo yule wa siku ilee... dah nimemsahau kiduchu.., au mwingine afu ndo nkwambie ka ni wivu au la.
 
Abiria chunga mzigo wako, simlaumu shemeji yetu mwache alinde mali zake, na pengine anakujua tabia zako wewe kiwembe(ni mfano tu usichukulia kivile)
anajua mi sio kiwembe tatizo ubize na mdogo wake mda mwingi wakati wanaishi wote nyumban
 
Chumbani si anakushika vzr lkn?
chumbani fresh hata tukiongozana tukiwa wawili raha tupu tatizo mdogo wake akifika majanga nasahaulika kabisa ukizingatia mdogo wake niko rika moja nae
 
chumbani fresh hata tukiongozana tukiwa wawili raha tupu tatizo mdogo wake akifika majanga nasahaulika kabisa ukizingatia mdogo wake niko rika moja nae

Kwa hiyo una mashaka anakula tunda la kati kwa dogo?
 
m sielew hapo sasa

Dhana mbaya mamy,sidhani kama utapata jibu sahihi hapa kwa issue ya kushikana kwao njiani tu.
Umejaribu kuchunguza ukaribu wao like msg wanazotumiana,majina wanayoitana and the like?
Umeshawahi kumwambia mpenzio kuwa unakerwa anavyoku ignore akiwa na dada yake? Ali respond vipi?
Mahusiano yako na huyo bint yakoje hasa mkiwa wawili bila kaka yake kuwepo?
 
kila siku lawama na kumzushia skendo kama humtaki ni vema umuweke wazi
 
Back
Top Bottom