Ni window ipi itanifaa katika pc yangu?

eliasy

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Posts
455
Reaction score
54
naombeeni kujua ni window gani itanifaa katia pc yangu ya toshiba?
Ni kwa matumizi ya chuo tu kama kutumia internet na mambo mengine?

vipi kuhusu ubuntu ukilinganisha na windows nyingine?
 
Labda ungetoa specs za computer yako: RAM, HDD, Processor n.k. Ndio intakuwa rahisi kupata ushauri.
 
Ubuntu ni pasua kichwa mzee. Nilijaribu Ubuntu last year. Nkaitoa na kutupilia Mbali.tatiZo la Ubuntu is not friendly user. The Best window so far is Windows 7. Windows 8 iko kwenye Majaribio bado.wamerelease sokoni watu watumie then waweze kusend back Mapungufu yake ili waweza kurekebisha. Nmeitumia lakini naona Windows7ni "KIBOKO" walitulia kweli kweli kwenye kuiandaa. Tofauti na vista.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Asante. Nimekuelewa mkuu.
 
Labda ungetoa specs za computer yako: RAM, HDD, Processor n.k. Ndio intakuwa rahisi kupata ushauri.

Toshiba satellite C850-F01M
RAM 2 GB
HDD 500 GB
Processor 1.6 GHz
 

Windows 8 imeshatoka rasmi na majaribio yamemalizika. Iko madukani inapepea.
 
Toshiba satellite C850-F01M
RAM 2 GB
HDD 500 GB
Processor 1.6 GHz

Nadhani unaweza kutumia Windows 8, haya hapa masharti yake:

Windows 8 system requirements
If you want to run Windows 8 on your PC, here's what it takes:

Processor: 1 gigahertz (GHz) or faster with support for PAE, NX, and SSE2 (more info)

RAM: 1 gigabyte (GB) (32-bit) or 2 GB (64-bit)

Hard disk space: 16 GB (32-bit) or 20 GB (64-bit)

Graphics card: Microsoft DirectX 9 graphics device with WDDM driver
 
huwa hatusemi"window" tunasema operating system,kama una matumizi ya kawaida tu tumia os ya window 7,ubuntu au linux ni nzuri lakini zinahitaji utaalam zaid kwa kuwa ni os ambazo watu wengi hawajazizoea lakini ukipata fursa ya kuitumia hutataka itoke kwa machine yako
 
sio kwelli mkuu window 8 iko officialy released then so far ndio best Microsoft os
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…