Ni wife material, tatizo amekeketwa!

Ni wife material, tatizo amekeketwa!

Wanawake wengi sana hawawezi kumudu mwendo mrefu.. wanawake wengi wao wakishakojoa goli moja tuuu wanataka kupiga usingizi!! Oa huyo alafu tafuta nyingine ya siri unaenda kupozea huko.. Kumbuka Mke ni wakukulelea familia yako zaidi mechi za nje hazizuiliki hata uoe malaika! Nimeongea kwa uzoefu wangu mkuu!
Ni kweli Kaka ila siku hizi magonjwa mengi. Nilikuwa na mipango ya kando ila nimeiacha yote sababu yake.
 
Bas c useme alikeketwa? Km hakipo dah mtihan huo, sasa ukimgusa hapo alipokeketwa hua hakukataz? Tumia vilainishi kwa ushauri ili asiwe anapata michubuko ambayo inamsababisha achoke mapema, pia ht wenye antena weng kiukweli bila vialainish n ngumu kwan ute unataka kinachofuata n michubuko, mwanaume anafkr n mnato anapata raha kumbe kwa mwenzie n maumivu makubwa akitoka hapo anakimbilia jikon kutafuta chumvi ambayo hupunguza maumivu kwa kias fulan na maji ya baridi.
Unaweza kutumia mafuta ya maji km ya mizeitun yale orijino yenyewe.
Ushauri kwa wanaolalamika wapnz wao hawawaridhishi sababu kubwa n kuchubuka, ht mm zaman nlkua siinjoi kabsa kwan nlkua napata michubuko ht niandaliweje baadae mmewng akanunua yale mafuta ya mizeitun nainjoi nae anainjoi sn mwanzon tunaanza bila mafuta ukianza ukavu ndio anapaka mafuta kidg kuongeza stataaaaa
 
Oa tu kaka! Kwani wewe hizo goli mbili hazikufikishi? Utakosa wife material hivi hivi! Sex si kila kitu! Kuna watu wameoa wake mslaya kitadani ila akitoka chubani furaha kwenye ndoa hamna
Maximum satisfaction ni muhimu dada.

We Mwenyewe shahidi ukikunwa vizuri hata mwezi mzma unakuwa fresh tu
 
Bas c useme alikeketwa? Km hakipo dah mtihan huo, sasa ukimgusa hapo alipokeketwa hua hakukataz? Tumia vilainishi kwa ushauri ili asiwe anapata michubuko ambayo inamsababisha achoke mapema, pia ht wenye antena weng kiukweli bila vialainish n ngumu kwan ute unataka kinachofuata n michubuko, mwanaume anafkr n mnato anapata raha kumbe kwa mwenzie n maumivu makubwa akitoka hapo anakimbilia jikon kutafuta chumvi ambayo hupunguza maumivu kwa kias fulan na maji ya baridi.
Unaweza kutumia mafuta ya maji km ya mizeitun yale orijino yenyewe.
Ushauri kwa wanaolalamika wapnz wao hawawaridhishi sababu kubwa n kuchubuka, ht mm zaman nlkua siinjoi kabsa kwan nlkua napata michubuko ht niandaliweje baadae mmewng akanunua yale mafuta ya mizeitun nainjoi nae anainjoi sn mwanzon tunaanza bila mafuta ukianza ukavu ndio anapaka mafuta kidg kuongeza stataaaaa
Nashukuru kwa kunipa mwanga. Nilikuwa na wasiwasi wa kumpoteza huyu malkia.
 
Maximum satisfaction ni muhimu dada.

We Mwenyewe shahidi ukikunwa vizuri hata mwezi mzma unakuwa fresh tu
Ni ngumu kupata wife material miaka hii! So suit yourself... Pina nini unakihitaji zaidi kwa mke... Ukiona hafikishi malengo yako basi achana naye.
 
Eti na utam anasikia umejuaje sasa kama anausikia huo utam wakati hata ushirikiano hakupi??
 
Back
Top Bottom