Ni wife material, tatizo amekeketwa!

Ni wife material, tatizo amekeketwa!

Wanaudhi sana hawa viumbe, kuna mmoja kanisumbua miaka miwili kila wakati ooooh tukikutana nyltakuvulia cchupi na ntakupelekesha mwendo wa masaa, juzi kati nimetimba mkoa anapoishi, tukapanga mechi bana, hata dk 30 hazijaisha tyr anaanza oooh nimwagie nimechoka ,mara mapaja yanauma, mara Kiuno, mara papuchi inawaka moto, mi nasugua tu- nikaona ananipotezea muda nikaingia bafuni kuoga na kusepa zangu. Badae ananitext ooh mi sijazoea kut......mbwa muda mrefu hivo nikamkaushia tu. Jitumeni baana msiwe goigoi kama nin sijui
Na nyie mmezidi dk 15 zote izo kwani upo uwanja wa mpira ? Kha wanaume wa ivo nao wanachosha sana bora hta 20 au 25 inakuwa poa
 
Mkuu angalia umri unaenda, na hizo goli mbizi za sasa baada ya miaka kumi , utashangaa unaishia moja,

Hifadhi hizo manii kwa baadae huko,

Huyo mzuri maana umemzidi kiwango,

Shauriyako utakuja kukutana anayeridhika na goli kumi sijui utaomba po?

Demu mpenda goli nyingi ni hatari kwa afya yako.

Kama unataka mtundu jiandae na kuumwa kiuno mara kwa mara [emoji16][emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Akikua atakukumbuka, akishapata majukumu hatatamani hata kupiga kimoja
 
"..au labda ni hii inshu ya kukosa antena inamfanya asiwe comfortable kwenye show? "

Mkuu antenna ipi unayozungumzia??
 
Salam wanaMMU

Ni binti mzuri, anayejiheshimu, very natural, na nataka kumpa usajili wa kudumu ili badae aje kuwa wife. Changamoto ni kwamba huyu malkia wangu yupo kidigitali zaidi, hana antenna. Tunapokuwa kwenye show za kirafiki kwa kweli siriziki kabisa, goli mbili tu anasema amechoka namuumiza wakati namuandaa vzuri tu kwa muda wakutosha.
Nipo njia panda kwa kweli nawaza pengine labda hajazoea ukuni, au labda ni hii inshu ya kukosa antena inamfanya asiwe comfortable kwenye show? Kwa sababu hatoi ushirikiano wowote, yupo kama gogo na utam anasikia.
Msaada tafadhali, atafaa kwa matumizi ya nyumbani? Sitaki kuoa halafu tena nakuwa na vimada wengine.


Nawasilisha


Wanawake wengi sana hawawezi kumudu mwendo mrefu.. wanawake wengi wao wakishakojoa goli moja tuuu wanataka kupiga usingizi!! Oa huyo alafu tafuta nyingine ya siri unaenda kupozea huko.. Kumbuka Mke ni wakukulelea familia yako zaidi mechi za nje hazizuiliki hata uoe malaika! Nimeongea kwa uzoefu wangu mkuu!
 
Back
Top Bottom