1.Wa kwanza kupwaya ni mleta mada mwenyewe:yaani ile ulivyosema kupima utendaji wa waziri , iwapo katibu au wakuu wa idara hawapo,umeonesha kupwaya kwa kiasi kikubwa. Hao ni watu wanategemeana kimajukumu , hivyo basi huwezi kupima uwajibikaji wa waziri ,iwapo hayupo katibu mkuu wa wizara au wakuu wa idara.
2.Wanafatia kwa kupwaya: ni mawaziri wote isipokuwa waziri anayehusika na muungano.