Ni Waziri gani unadhani amepwaya kwenye nafasi yake?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Zipo wizara mbalimbali za serikali, kila wizara ina Waziri lakini kiutendaji na kwa kuzingatia mawaziri wengi siyo wataalam Bali Ni wanasiasa, je ni Waziri gani unadhani uwezo wa watu anaowaongoza ni mkubwa kuliko wa kwake na hivyo ameshindwa kutoa huduma iliyokusudiwa na badala yake anakesha BARABARAni na kwenye media kutafuta Kiki?

Waziri utakayemtaja awe ni yule ambaye hata Leo akiondoka KM na wakuu wa idara wanaweza kutekeleza majukumu na wizara ikaenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Wa kwanza kupwaya ni mleta mada mwenyewe:yaani ile ulivyosema kupima utendaji wa waziri , iwapo katibu au wakuu wa idara hawapo,umeonesha kupwaya kwa kiasi kikubwa. Hao ni watu wanategemeana kimajukumu , hivyo basi huwezi kupima uwajibikaji wa waziri ,iwapo hayupo katibu mkuu wa wizara au wakuu wa idara.
2.Wanafatia kwa kupwaya: ni mawaziri wote isipokuwa waziri anayehusika na muungano.
 
Rais mwenye kapwaya tena zaidi ya mawaziri wake


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom