Ni Waziri gani anazuia uwekezaji?

Nairobian

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
873
2,281
Jamani ni waziri gani amelengwa kwenye hii makala. Kuna Comments chini wengi tunasoma lakini hatuelewi. Ukitaka kusoma zaidi fuata hii Link haha chini

Hii ni quote kutoka Tories blow £200 million in foreign aid on corrupt Tanzania which held a RIGGED election

This is one of the most corrupt African regimes. President, Magufuli was elected under a sham election, he lost but then won in African style. Museveni part II. We don't our pounds to go to this government. Cameron needs to the think of the Brits struggling to go to university and other development initiatives. We are fed up with Toris support of African dictators like Magufuli who do so well at the glare of cameras.

There is an internal plan within the ruling party CCM to destabilize his government in which, a young man from the former (former presidents assistant) regime in his cabinet, who supposedly was to be a Prime-Minister is architecting his downfall, although the same Minister is being accused within the diplomatic circles of being a big obstacle for foreign companies trying to do business in Tanzania. He is milking them big time through his sister so he could push through their interests.

All in all in Tanzania, Tanzania government should be sanctioned until justice is done in Zanzibar. The semi autonomous Tanzanian territory
 
Aaagh! Na wewe bwana, yaani unataka mpaka utafuniwe kila kitu bwana? Huyo si ni yule jamaa ambaye alisemwa na askofu Mokiwa kwamba "hatutawaliwi na watu wenye vipara?" Au na hapo tutakupoteza? Basi huyo ni late December Ma-rope! Magufuli naye si akatumbue haka!!
 
Kiingereza chenyewe kimeandikwa kwa mtiririko wa kuandika kiswahili!

Mwandishi anabadilisha sentesi ya kiswahili kuwa ya kiingereza!

Shule zetu za kata ni majanga!

Halafu lazima mfahamu kwanza siasa za ndani za UK ndiyo mpate fikra pevu katika michango ya geopolitics kama hizi.

Magazeti ya Telegraph na Daily Express yana mlengo wa kampeni za kutaka UK isitoe misaada kwa nchi za nje ndio maana wanaleta article ili ziamshe hisia za wananchi kuhusu kile magazeti haya yanadai matumizi mabaya ya kodi za wananchi wa UK.

Watu kama Liam Fox ambao walikuwa kwenye serikali baadaye wakalazimishwa kujiuzuru kwa sasa wana agenda za kum-undermine Cameron kwa sababu amewaacha nje ya serikali.
 
BG group sio muda mrefu imenunuliwa na Shell part of that acquisition wanachukua na vitalu vyote wanavyo miliki Tanzania. Katika harakati hizo BG group wameshalipa kodi ya kutosha kwa bwana Cameron pengine zaidi ya misaada tuliyowahi kupokea kutoka UK tangia uhuru based on the amount of the deal. Better still Still Shell is an Anglo-Dutch company with UK government shares.

Trust me waingereza kwa sasa awana sababu ya kuikorofisha Tanzania na CCM ata kama wanataka wanaibadilisha na nani hakuna hizo divisions wala guarantee za safety kwenye interest zao nje ya CCM kwanza chama tawala ana mpinzani, ana loyalty ya wengi na vyombo vya ulinzi.

Kuna nchi people will try to lobby lakini wenyewe wanajua upuuzi ulipo kwenye viji article uchwara au unaweza kuwa mkwara tu hili hoja ifike bungeni kwa sababu Liam Fox si mtu mdogo.

Hila kiuhalisia kuna washiriki wa kamati za bunge ambao ni watu makini kwenye defence au foreign affairs ambao kwenye CV zao utakuta ni private schooled, Oxford or Cambridge graduates, Sandhurst trained, kesha ongoza platoon kwenye mission fulani hatari, army major, kaacha jeshi kawa head of some hedge fund for some years, katoka huko na sasa ni mmbunge ambaye yuko kwenye kamati ya ulinzi au foreign; unacheza wewe wazungu wasikie bombani tu people know when to attack hawa jamaa wakisema twende ujue wamejipanga na kuna case nzuri ya kutunga not never because of some silly article.
 
PANAMA PAPERS zimewaumbua waingereza. Wanaongea kama vile akitoka Mungu na mitume wake basi wao ndio wanaofuatia, mafisadi wakubwa, baba yake Cameroon kagundulika kuwa na yeye alificha mapesa ya kutakatishwa nje ya Uingereza. Ujanja ni ule ule wa kujitegemea na sio kupeleka bakuli Ulaya kila kukicha.
 
PANAMA PAPERS zimewaumbua waingereza. Wanaongea kama vile akitoka Mungu na mitume wake basi wao ndio wanaofuatia, mafisadi wakubwa, baba yake Cameroon kagundulika kuwa na yeye alificha mapesa ya kutakatishwa nje ya Uingereza. Ujanja ni ule ule wa kujitegemea na sio kupeleka bakuli Ulaya kila kukicha.

Huyo Tory wanayemuongelea antiwar Dr Liam Fox, alikuwa waziri wa ulinzi mwanzoni mwa serikali ya David Cameroon lakini alijiuzulu kwa sababu ya ufisadi. Alimuingiza mpambe wake wa biashara kwenye shughuli za serikali na hata kwenye safari za kazi huyo mpambe akawa anashiriki.
 
Kiingereza chenyewe kimeandikwa kwa mtiririko wa kuandika kiswahili!

Mwandishi anabadilisha sentesi ya kiswahili kuwa ya kiingereza!

Shule zetu za kata ni majanga!


Mkuu lakini ujumbe si umefika? Kiingereza si shida kwa mwandishi tu bali hata kwa Magufuli! Sisi tuliosoma shule hizo hizo za kata basi tunajua ya kwamba waziri mlengwa hapo ni January Makamba.
 
Back
Top Bottom