Ni Waziri gani anaona amefeli na kwanini?

Ni Waziri gani anaona amefeli na kwanini?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,110
Reaction score
4,997
Kwenye Baraza la Mawaziri la sasa ni yupi kati yao unaona kabisa hana tija?

Kwanini unaona kwamba amefeli kutimiza wajibu aliopewa?

Je, amefeli kwa sababu amekabidhiwa sekta asiyo na uzoefu nayo au hana sifa kabisa yakuwa Waziri?

Nani ungetamani achukue nafasi yake?
 
1: Jenista Mhagama
2: Ashatu Kijaji

Yaani hawa wanajibu kwa nadharia na wasanii sanaaa katika kazi, sio watendaji, untrusted, alafu kama Kikokotoo kipya Jenista kaumiza sana wastaafu aisee
 
1: Jenista Mhagama
2: Ashatu Kijaji

Yaani hawa wanajibu kwa nadharia na wasanii sanaaa katika kazi, sio watendaji, untrusted, alafu kama Kikokotoo kipya Jenista kaumiza sana aisee
wewe achana na ashatu kijaji
 
Sio waziri tu ni serikali nzima

Kazi kutwa kuropoka takwimu zisizomsaidia mwanachi wa kawaida
 
1: Jenista Mhagama
2: Ashatu Kijaji

Yaani hawa wanajibu kwa nadharia na wasanii sanaaa katika kazi, sio watendaji, untrusted, alafu kama Kikokotoo kipya Jenista kaumiza sana wastaafu aisee
Kumbe!
 
Back
Top Bottom