Ni watu wachache sana wanabahatika kuoa 'Soul Mates'

Ndugu yangu tabia kubadilika ni ngumu, she cant aisee, nimefanya mpaka kwa vitendo, But still Hakuna, utakuta tu vitu havipo sawa!

Sasa akatokea Dada wakazi is wired like me! Msafi mno, sasa huyo ndo kwa kweli ananifanya Nina raha!

Yani yeye hata nikimwambia fua hizi nasafiri, hemu fanya faster rekebisha hiki anafanya! Mwishowe keshanijulia na wala simwelekezi tena!

Now, the issue is akiondoka Sasa sijui, maana naona wifi yako kaanza figisu figisu, ila najitahidi kumkingia kifua!

Yani kwa kifupi huyu Dada wa kazi ni shockabsobder ya udhaifu wa huyu Mama, anasawazisha!
Dada wa kazi anakupa raha!!hongera kwa yfu.mwambie aendelee kuwa hivyo hivyo😅😅😅
 
Nina mtu wa namna hii aise nakonda kila uchwao, yaani hana jema huyu mpaka uvumilivu umeniisha natamani kuwa mwenyewe yaani

Mkuu pole watu tuna Mengi tunapitia si wadada wala wakaka. Yaan Mimi huyo Dada nilimpenda sana nilijitoa kwa vile nilivyoweza lakini shida kubwa kwake sasa ni No appreciation kwa lolote, maneno na ugomvi hata kwa kitu kidogo unanuniwa siku nne, na siku nne zikiisha akikutafuta anarudia tena ugomvi uleule,

Kifupi ni Mtu anaeona ubaya tu kuliko uzuri. Niliumiza kichwa sana mwanzo mwisho nikaona bora nikae pembeni nimtazame . Mkuu hakika huyo Mtu wako hamtawezana utavumilia sana mwisho utarudisha mpira kwa kipa tu.
 
Haki naona njia ya kwa kipa aise
 
Mimi huyu mwanamama hataki mdada wa kazi afu mambo yake vululu yaani kama saa hizi nimeshamaliza usafi (kufua nguo zangu) nk sasa nastua kinywa niende zangu mzigoni, namuona anacheka tu na mawasapu yake...
Aisee
 
Ndugu yangu tabia kubadilika ni ngumu, she cant aisee, nimefanya mpaka kwa vitendo, But still Hakuna, utakuta tu vitu havipo sawa!

Sasa akatokea Dada wakazi is wired like me! Msafi mno, sasa huyo ndo kwa kweli ananifanya Nina raha!

Yani yeye hata nikimwambia fua hizi nasafiri, hemu fanya faster rekebisha hiki anafanya! Mwishowe keshanijulia na wala simwelekezi tena!

Now, the issue is akiondoka Sasa sijui, maana naona wifi yako kaanza figisu figisu, ila najitahidi kumkingia kifua!

Yani kwa kifupi huyu Dada wa kazi ni shockabsobder ya udhaifu wa huyu Mama, anasawazisha!
Mwanangu chukua beki tatu huyo mwingine mwache aende binafsi napenda mwanamke ambaye anajituma na kujua kunielewa nikoje
 
Kuna watu nature yao wanapenda usafi, akiamka asubuhi atasafisha alipo lala, bafuni atakuweka sawa baada ya kutumia, jikoni ataweka kila kitu sawa baada ya kutengeneza kifungua kunywa. A tafuta vumbi TV kabla ya kukaa na kuangalia taarifa ya habari.
Nilikuwa na mmoja wa Kihaya alikuwa akija geto asubuhi anaanza kujiangalia kwenye kioo cha dressing table, mara anaanza kunengua(twerking), mara anaenda kwenye droo akikuta kondom moja au mbili anaanza kuuliza ''jana ulitumia na nani'', na unakuta geto halijakaa sawa lakini wala hana habari, Siku moja nikamkaangia mayai na viazi akala nikamnunulia na fanta akanywa cha ajabu hata kutoa vyombo hakuna...akapanda kitandani akaanza kusaula...nikajua huyu ni sex mate wala sio soul mate...kudinya nilikuwa namdinya sana...siku akajichanganya akanisonya nikafutilia mbali...
 
Na Yule ambae ukienda kwake unaona kabisa vitu hakiekeweki havijakaa katika mpangilio, vumbi, vyombo vichafu , chooni hakueleweki, na ukitaka kurekebisha anakwambia achana na hivyoo, je huyo pia anakuona Ni Kama sex mate?
 
Walishasemaga humu ndani mwanamke akienda kwa mwanaume asimharibie mpangilio wa nyumba yake....mara sijui ufuta nini,mara umepanga nguo vizuri,umejipikilisha😅😅vikapanda vikashuka hawataki.

Ule uzi sijui nitautoa wapi.tulipondwaa🤣🤣🤣

sjosh4 naomba nielekeze ule uzi wapi nitaupata.ule mliotukandya sana😅😅😅
 
Back
Top Bottom