Ni wapi yalipo Makao Makuu ya Ofisi hizi?

Ni wapi yalipo Makao Makuu ya Ofisi hizi?

mwanaMtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
2,393
Reaction score
1,433
Wakuu na wadau naomben msaada zilipo/ yalipo makao makuu ya ofisi hizi
-zantel
-tigo
-voda
-smart
-Dstv
-Tff
 
Wakuu na wadau naomben msaada zilipo/ yalipo makao makuu ya ofisi hizi
-zantel
-tigo
-voda
-smart
-Dstv
-Tff

1.Zantel. Msasani jirani na Ubalozi wa USA.
2.Vodacom. Mlimani City.
3.Dstv. Orysterbay Jirani na Usalama wa Taifa,Barabara ya Hassan Mwinyi.
4.TFF. Karume.
5.Tigo. Sina hakika kama ni Posta au Kijitonyama pale Derm House mkabala na Millenium Tower. Wajuzi watafafanua zaidi pamoja na hiyo Smart.
 
Smart ipo Mikocheni kwa Warioba

Tigo ni hapo Makumbusho Derm House

Halafu hao TFF sio kuwa wamehamia PPF Tower pale Ohio?
 
Smart ipo Mikocheni kwa Warioba

Tigo ni hapo Makumbusho Derm House

Halafu hao TFF sio kuwa wamehamia PPF Tower pale Ohio?

Unamaanisha bado wanapiga ela ya pango ppt?
Cc: malinzi
 
Last edited by a moderator:
Unamaanisha bado wanapiga ela ya pango ppt?
Cc: malinzi

Mimi najua walihamia PPF Tower ili kupisha ujenzi wa majengo mapya pale Karume baada ya kale kukachoka kale kaofisi walikopewa msaada na NSSF enzi za Tenga...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom