Ni wapi naweza kununua kitabu cha Dangote?

dlnobby

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
2,514
Reaction score
3,349
Habarin wanajamvi

Naomba kuuliza ni wapi au ni duka lipi ntaweza kukinunua hiki kitabu cha mtu mweusi tajiri duniani dangote

Kama unafahamu au unacho si vibaya tukajurishana ili niweze kupakuwa vilivyo pikwa na huyu bwana dangote

Ni mim mpenda kimya wa Iringa kwa sasa nipo jiji la makonda
 
Vinekuwa adimu sana lkn unaweza kukinunua maana. Ni GHALI sana .mara YAA mwisho kunaa jamaa KUNUNUA laki tano kimoja
 
Dangote nae anawadanganya watu....

Yeye mjomba wake alikuwa bilionea kabla yake
na alimpa mtaji wa pesa nyingi tu

Dangote hakuwahi kuwa masikini

mjomba wake Datanta ni bilionea....na ndo aliemlea na kumpa mtaji
 
Duh!! Huyo Mjomba wake ni Mentor mzuri sana. Na pia Dangote anainekana alikua ambitious sana. Hongera zao.
Na wabongo msipende vya kuambiwa sana, hakuna mtu anayeweka siri zake zoote mezani!! Na pia mnatakiwa mjue Dark side huwa haiwekwi mezani na mara nyingi Dark side inakua imeplay part kubwa katika kupata utajiri. ( Ni sawa na utegemee waingereza na wazungu wakuambie biashara ya Utumwa, Ukoloni na unyonyaji walio ufanya Afrika ulichangia maendeleo yao. )
 
Dangote nae anawadanganya watu....

Yeye mjomba wake alikuwa bilionea kabla yake
na alimpa mtaji wa pesa nyingi tu

Dangote hakuwahi kuwa masikini

mjomba wake Datanta ni bilionea....na ndo aliemlea na kumpa mtaji
Lakin kitabu chake ni kizuri kwa mtu unayetaka kufanikiwa
 
Habarin wanajamvi

Naomba kuuliza ni wapi au ni duka lipi ntaweza kukinunua hiki kitabu cha mtu mweusi tajiri duniani dangote

Kama unafahamu au unacho si vibaya tukajurishana ili niweze kupakuwa vilivyo pikwa na huyu bwana dangote

Ni mim mpenda kimya wa Iringa kwa sasa nipo jiji la makonda
sh 150,000 ni pm
 
Huyu jamaa anakshafa ya kutakatisha pesa na kukwepa kodi. Anatumia viongizi wa kisisa ilikufanikisha mipango yake. Kwahiyo unataka kitabu ili ujue trick anazotumia kuwa successful
 
Habarin wanajamvi

Naomba kuuliza ni wapi au ni duka lipi ntaweza kukinunua hiki kitabu cha mtu mweusi tajiri duniani dangote

Kama unafahamu au unacho si vibaya tukajurishana ili niweze kupakuwa vilivyo pikwa na huyu bwana dangote

Ni mim mpenda kimya wa Iringa kwa sasa nipo jiji la makonda
House of wisdom posta utakipata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom