Ni wangapi wanakumbuka hili?

ha ha ha ha! wewe ni mchochezi wa moto sasa ningekuwa mod ungekula ban ya sekunde 1
 
Kumbe Faru John, alikua anawaonea sana Faru Wenzie tu na kuonekana Gaidi.

Kumbe bonge la Fisi.... Anakimbizwa na kijitu kidogo.... Pambafu zake.
 
Mtazamo wa kila mmoja wetu ni tofauti .... so sitakuwa responsible kwa mtazamo wa mtu fulani juu ya hiyo picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…