Ni wanaume wangapi wanaweza maisha haya?

Binafsi siwezi.

Ila Dunia sinia kila mtu anapakua anachoweza.
 
Hakuna mwanaume rijali anaeweza vumilia hayo mambo

Hata siwezi kabisa kuvumilia
 
Daah maisha gani hayo sasa...au ndio uzoba wenyewe huo
 

Mwaname yeyote ambaye:

- mvivu hatai kazi.
- anayependa kulelewa.

Huyo jamaa anaona fursa ya pili kwako... si watu wa kuendekeza mawasiliano nao hao kama umeolewa na unajiheshimu
 
Kuna kujielewa na mahaba mkuu.
Wapo wengi Wa aina hiyo .
Siku hizi wanaume wamebaki wachache sana ...
Wapo wanaume wanapenda maisha mteremko na Mara nyingi hawana vision sasa wanajikuta kujipeleka kwa wanawake wanaojishughulisha ili maisha yao yasonge na show off za nje jamii iwaone.
Kulea mtoto Wa kiume ni changamoto sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…