Huyu kaka tulisoma wote na kumaliza pamoja darasa la saba. Tumekutana tena kwenye kijiji cha wavuvi soko la Kisutu, kwakuwa siku ile nilikuwa na haraka tuliweza kubadilshana namba simu.
Huyu kaka anaishi na girlfriend wake yeye hana shughuli maalumu, haya niliyagundua baada ya kunipigia simu na kuongea na kukaribshwa nyumbani. Wifi yangu ni changu na ajajiuza kwenye mahoteli makubwa, wateja wake wengi ni wazungu na kule anawaambia yuko single.
Kisa cha kuleta habari hii hapa ni kuwa swahiba amenipigia simu amechanganyikiwa, wifi amerudi kutoka kazini na engagement ring, kuna mzungu amefika bei anataka kuchukua jumla.
Nyumba wanauoishi ni ya urithi ya wifi aliachiwa baada ya wazazi wake kufariki na ndugu zake wametayanyika, DSM yuko mwenyewe.
Hivi ni wanaume wangapi wangeweza kuishi maisha haya?
muonee huruma mpe nafasi kwako!Hivi ndiyo maisha ya wanaume wa Dar haya?
Demu ni official changu kamaa anamsubiri nyumbani akipikia supu
huyu kaka yako ni ''lofa" in Mkapa voiceHuyu kaka tulisoma wote na kumaliza pamoja darasa la saba. Tumekutana tena kwenye kijiji cha wavuvi soko la Kisutu, kwakuwa siku ile nilikuwa na haraka tuliweza kubadilshana namba simu.