Ni wale tu walioalikwa ndiyo wataingia kwenye mkutano wa Magufuli leo

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,701
71,051
Wakuu habari,

Wale wazee wa dar es salaam watakaohudhuria kikao cha Leo na mh. Rais ni wale tu walioalikwa. Kwa hiyo usije ukakurupuka na kwenda huko wakati hujaalikwa.

Chanzo: tangazo la ITV
 
Duh kadi zilitolewa lini na kwa vigezo vipi mkuu?
Mbona ubaguzi sasa unaanza?
 
Wakuu habari,

Wale wazee wa dar es salaam watakaohudhuria kikao cha Leo na mh. Rais ni wale tu walioalikwa. Kwa hiyo usije ukakurupuka na kwenda huko wakati hujaalikwa.

Chanzo: tangazo la ITV

Wangeacha Tu Kutoa Hili Tangazo Kwani Kwa Aina Ya ULINZI WA RAIS WA SASA ULIOPO Ukiwaona Tu Wale WAZEE WA KAZI ( PSU ) Wewe Mwenyewe Unaanza Kujiamkia SHIKAMOO Na Hata Kujikojolea!
 
Azam TWO & EXTRA. Waziri mkuu,makamu wa Rais,wazee waalikwa tayari wamewasili. Hii timu ya Magu ni kama Barcelona.
 
Wangeacha Tu Kutoa Hili Tangazo Kwani Kwa Aina Ya ULINZI WA RAIS WA SASA ULIOPO Ukiwaona Tu Wale WAZEE WA KAZI ( PSU ) Wewe Mwenyewe Unaanza Kujiamkia SHIKAMOO Na Hata Kujikojolea!
Unaonekana ulitamani kuwa mwanausalama lakini ndo haujawa tehe tehe! Rais wetu ni lazima apewe Ulinzi uliotukuka hapa Tanzania ndugu sio Kigali
 
Kweli mkuu lazima apewe ulinzi ila mimi sitamani kuwa mwanausalama labda wewe mkuu
 
Back
Top Bottom