Ni wale madaktari sita...

Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,599
435
Je wajua majina ya wale madaktari sita muhimu katika maisha yako?

Kama huwajui basi fungua macho na akili zako :-

1. hewa (Air)

2. Maji (Water)

3.Usingizi ( Sleep)

4. Mazoezi ( Exercise)

5. Jua la asubuhi ( Sunshine)

6. Mpangilio wa Chakula muhimu (Diet)


Tafadhari usiache kuwatembelea na kuwatumia ipasavyo.


VIVA MWALIMU! VIVA BABA WA TAIFA !!!!!!!!!!




VIVA CHAMA CHA .........
 
Hapo namba tano, mbona kuna nchi zilizoko aktic zina msimu mdogo sana wa kuliona jua na wana afya imara sana?
 
Back
Top Bottom