Tumuulize aliyezinunuaUnajua kutengeneza bwawa la maji kwa trillion 10 ni uchizi
Ni uchizi hasa ukijua halina maisha marefu unajiuliza why zitumike pesa zote hizi
Mbunge mmoja alisema huu ni ufisadi mwingine maana leo zinapelekwa kidogo mwakani kidogo mwakani tena kidogo escrow nyingine hii hapa
Kununua ndege sio kosa kosa ni kutumia pesa za wakulima wa korosho kibabe kisa ndege
Nauliza tu ni wakulima wangapi nchi hii wanapanda ndege wanapoenda shambani na kurudi kutoka shambani
2020 mtapata tabu sana
Aviation industry siyo ya kuleta siasa. Utashindana na Kenya, Etihad, Swiss, Emitates , SAA zinazokuja dar? Lakni kwa vile hamtaki watu waseme ukweli, time will tell!Ni moja ya vitega uchumi vya nchi.
Acha upuuzi.
Unajua kutengeneza bwawa la maji kwa trillion 10 ni uchizi
Ni uchizi hasa ukijua halina maisha marefu unajiuliza why zitumike pesa zote hizi
Mbunge mmoja alisema huu ni ufisadi mwingine maana leo zinapelekwa kidogo mwakani kidogo mwakani tena kidogo escrow nyingine hii hapa
Kununua ndege sio kosa kosa ni kutumia pesa za wakulima wa korosho kibabe kisa ndege
Nauliza tu ni wakulima wangapi nchi hii wanapanda ndege wanapoenda shambani na kurudi kutoka shambani
2020 mtapata tabu sana
Kwani Wakulima wangapi wanapanda Mwendokasi au Meli za Azam kwa hiyo tufute zote?
Hapa kwetu more than 80% ni wakulima, meaning ndiyo majority... Ughaibuni wakulima ni asilimia ngapi? Say Marekani, Uingereza au Ujerumani...Kwani huko ughaibuni ni wakulima wangapi wanapanda ndege kwenda na kurudi mashambani?
20% ya watanzania ni kama 10,000,000 je Dream liner ina uwezo wa kubeba watu wangapi ?Hapa kwetu more than 80% ni wakulima, meaning ndiyo majority... Ughaibuni wakulima ni asilimia ngapi? Say Marekani, Uingereza au Ujerumani...
Mwendokasi wanapanda Waswahili Wa DSM na walalahoi ...... Shilingi ngapi nauli? He ya ndege!
Mshahara kima cha chino shilingi ngapi kwa mwezi na to and from dsm-mwanza shingangapi?
2. Ukisema za Azamu..... Nimali ya MTU binafsi sio Mali ya umma.... Tunajadili Mali za umma sio private sector.
Ulikuwa hauna kitu chochote, leo umeanza kutengeneza maisha,mfano unajenga nyumba, unawezaje kujilinganisha na wale wenye mafanikio ambao walishajenga tayari kabla yako?Aviation industry siyo ya kuleta siasa. Utashindana na Kenya, Etihad, Swiss, Emitates , SAA zinazokuja dar? Lakni kwa vile hamtaki watu waseme ukweli, time will tell!