yaan watu wajiunge na nonsense, surely? huenda kwa akili zizilizoyumbaUkumbusho wako wa kirafiki kwamba kumekuwa na ushirika kila wakati. Tangu zamani mpaka sasa... Duniani kote.. Kuwa mshirika... Jiunge na mtandao Jenga jumuiya yq wazalendo wa Tanganyika Kuza upinzani. Huu ni wakati wetu..
It is NOW...! or NEVER...!View attachment 3296939
ndio maana kupuuzwa kwa agenda za kipuuzi kwa ustawi wa demokrasia ni kwingi ndani na nje ya chadema gentleman chini ya uongozi mpya uliokosama maono na uliopoteza uelekeoMuda ni hakimu mzuri.. Tuupe wakati
rejected Chadema useless and completely nonsense agenda by Chadema themselves 🐒