Ni wakati wa wazanzibar kutuchuna

Ni wakati wa wazanzibar kutuchuna

Punguza hasira,wacha wale kidogo na wenyewe tuone kama watashiba kumbuka hiyo nafasi huipata mara moja kwa karne.
 
Tulieni hivyo hivyo, hakuna jinsi tutachunwa Hadi akili ziturudie, aliyewalaani amekufa, watu na akili zenu mnaikana Tanganyika mlifikiri mtakuwa salama? Mama wachune Hadi mifupa, ngedere sisi
Uko sahihi mkuu, yaani inaniuma hii saaana, naumia sana kwan kwa sasa hata wasipofanya kazi kodi zitachotwa toka bara na chawa Mwigulu na kupelekwa kutumika zanzibar, si waona sasa siku ya mwakampya wa kiislam kwao ni mapumziko.
Huyu mmama katiri tumkatae wabara wote na liMuungano life tu, na ikibidi wabara tuhache kununua toka kt maduka ya wazqnzibar tuone kama hawatarudi kwao.

Pooor weee
 
Back
Top Bottom