Ni wakati wa kunyoosha mti, siyo kivuli

Dickson Mpemba

JF-Expert Member
Jan 21, 2010
353
151
Nafikiri kwa mwenendo wa bunge hili, umefika wakati muafaka wa kuacha kufanya siasa zote zisizo na tija na kuanza kuhamasisha wananchi kudai katiba mpya.

Kwa mwenendo huu wa kusimamishwa kuhudhuria bunge na vikao kwa baadhi ya wabunge wa upinzani ni ishara tosha kwamba wanatakiwa wakaonekane live!

Kwenye majukwaa ya siasa majimboni siyo kwenye tv wakiwa na agenda inayoweza kubadilisha mustakabali wa taifa hili.

#Tunyooshemtisiyokivuli
 
Katiba mpya ndio mpango mzima lakini mchakato uanze upya maana kuna ile katiba yao waliyo ipitisha na kudai kwamba imekamilika haita kubalika kabisa.
 
Back
Top Bottom