Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,581
- 2,937
- Thread starter
- #21
Pointi kali hii mkuu, kama kweli wana uchungu na wananchi hizo hela wangetoa kwa wananchi ziwasaidienikiwa kama mwana chadema,nasema hii ni aibu na ujinga kwa mbowe slaa na tundu,nasema hawatumii kabisa akiri, how comes mnatumia choper kuzunguka kwa wananchi masikini,halafu mnawaambia ccm haijawaletea maji,kwa nini zisitumike hizo pesa kuwachimbia wananvhi visima?na kwa nini hiyo pesa wasipewe makatibu huko wilayani kuimalisha chama vijijini? ukweli nina hasira,mbowe na wapuuzi wenzako achieni madaraka km vipi tutawaorganize wananchi wasusie mikutno yenu ili muachie madaraka,nina hasira siyo kawaida.