Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,761
- 27,484
Na Mangungu je?Mo ataondoka ni swala la muda pamoja na kulipa chawa wake wadau wa Simba wameshajua tatizo ni nini
By the time wanashtuka watakuwa coastal union. Wache waendekeze uswahiliSio sifa kufungwa na Yanga kila mara .
Hawajui tu wanaharibu Brand yao.
Kibiashara thamani ya club itashuka.
Nani anataka kujihusisha na club inayofungwa kila mara.
Wajitahmini kwakweli.
Naye pia aondoke badala ya kusimami katiba anatumia busara hizo ni siasa zisizo na faida kwa Simba pia zinatengeneza migogoro isiyo na faida.Na Mangungu je?
Aondoke kwasababu ya matatizo yake ya kiutendaji.Naye pia aondoke badala ya kusimami katiba anatumia busara hizo ni siasa zisizo na faida kwa Simba pia zinatengeneza migogoro isiyo na faida.
Kila siku nawambia pambanieni katiba mpya kwa ajiri ya vizazi vyenu ( maneno ya Ima) sio mimi. Mpira hamuuwezi madrid kafungwa na barcelona kama hayupo ivi uliona wanasema wanashuka brand kwa sababu ya kufungwa?Sio sifa kufungwa na Yanga kila mara .
Hawajui tu wanaharibu Brand yao.
Kibiashara thamani ya club itashuka.
Nani anataka kujihusisha na club inayofungwa kila mara.
Wajitahmini kwakweli.
Kigwangala ndiyo wakati wake huu sasa aonyeshe mbavu zake!Yaani mmeshindwa kumuelewa MO ,kila siku tunawaambia MO ni JanjaJanja tu ,anapiga MARK TIME.
Simfichii chochote ndio maana nataka awajibike kwa kusema anatumia busara badala ya kufata sheria.Aondoke kwasababu ya matatizo yake ya kiutendaji.
Hiyo ya kusema busara kwangu haijakaa vizuri naiona kama unataka kumfichia makosa yake asionekane ni tatizo bali ni mtu aliyeponzwa na wema wake uliopitiliza kwasababu alitumia busara.
Yani nachomaanisha ni kwamba ulicho kiona kwa Mangungu kama tatizo ni hiyo ishu ya busara tu?Simfichii chochote ndio maana nataka awajibike kwa kusema anatumia busara badala ya kufata sheria.
Labda unaweza kusema tatizo unaloona upande wakoYani nachomaanisha ni kwamba ulicho kiona kwa Mangungu kama tatizo ni hiyo ishu ya busara tu?