Kwa jinsi mpasuko wa visiwa vya Unguja na Pemba vinavyounda nchi ya Zanzibar unavyozidi kushika kasi naona sasa ni wazi kwamba muarobaini wa mpasuko huo ni muundo wa serikali moja ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ambapo utazifanya Unguja na Pemba kuwa majimbo ya Jamuhuri ya Tanzania. Pia zitengenezwe kanda hapa bara bazo ziwe majimbo. Kwa mtazamo huo Hakutakaa kuwepo uchaguzi wa raisi wa Zanzibar na Jecha hatakuwa na kazi ya kuchanganya mada.
Kwa kuanza kuchukua hatua kuelekea huko, Turudishe tume yetu ya kuratibu mchakato wa katiba ianzie ilipoishia kwa kubadilisha suala la muundo wa serikali, badala ya TATU iwe MOJA. ne mengine yarekebishwe accoardingly!