Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,491
- 2,355
Tangu nimemjua huyu bwana aachi kutukanwa na kusema vibaya licha ya kazi nzuri ambazo amekuwa akizifanya katika jamii yake. Najua kila mtu ana madhaifu yake lakini ifike mahali watanzania tuwe wakweli, mtu asifiwe pale anapofanya vizuri. Miongoni mwa wakuu wa wilaya ambao wanajitahidi kuleta maandeleo katika wilaya zao bila kujali asili yao na Makonda naye yumo. Tumeshuhudia mengi mazuri akifanya katika wilaya yake ya kinondoni tofauti na wakuu wengine tulionao katika wilaya zetu ambapo kuwaona tu ni shida.
Nadhani ni wakati muafaka sasa wa kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Mh. Paul Makonda katika wilaya yake ili wakuu wa wilaya na mikoa waige kutoka kwake
Nadhani ni wakati muafaka sasa wa kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Mh. Paul Makonda katika wilaya yake ili wakuu wa wilaya na mikoa waige kutoka kwake