Ni wakati, kumpigia magoti JK

Ni wakati, kumpigia magoti JK

Singidan

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
878
Reaction score
944
Ni wakati wa kumpigia magoti Mh JK, Kwani tulimkosea sana. Aje atuambie wapi alitoa pesa za
kulipa wafanyakazi hewa na wasio hewa +kocha wa Taifa Stars, kulipa wanafunzi hewa na wasio hewa na PT, Kugharamia miradi mikubwa, kulipia bunge liwe live, kugharamia semina elekezi na safari za nje, kugharamia kuwanunulia wabunge magari ya gharama, na kuharama sherehe na karamu za kitaifa.
Na bado watu tuliishi vizuri na pesa zilikuwepo
 
nyie si mlisema JK dhaifu?? au sio ninyi !!! ? mwacheni MH Dr JK apumzike bana
 
Lako ni wazo fikirishi kwelikweli!
 
Jiulize wapi Magufuli kapata hela za kuagiza ndege mpya za ATCL zilizomshinda JK kwa miaka kumi.

Wapi Magufuli kapata hela za kulipia elimu bure billion 19 kila mwezi.

Wapi Magufuli kapata hela za kuongeza ununuzi wa dawa kwenye budget ya Wizara ya Afya toka billion25 hadi billion 250

Wapi Magufuli kapata hela za kuongeza budget ya maendelo kwa kila Wizara.

Wapi Magufuli kapata hela ya kujenga barabara ya Mwenge Morocco na ya Airport kule Mwanza.

Ukipata majibu ya maswali hayo, utajua kwa nini JK aliweza kulipa wafanyakazi hewa, Kocha wa Taifa Stars, kugharamia semina elekezi na safari za nje nk. Kupanga ni kuchagua.
 
Utajiri au Umaskini ni mawazo, ukweli ni kwamba Jk alikuwa na mawazo ya kitajiri mkapa alikuwa na mawazo ya kitajiri, ogopa watu wenye mawazo ya kitajiri hawakubali kushindwa wala kuukaribisha Umaskini nyumbani
 
Back
Top Bottom