The seer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 407
- 690
Serikali ilianzisha mchakato wa kubaini vyeti feki.ambapo mchakato huu ulisababisha baadhi ya wafanyakazi kukimbia maeneo yao ya kazi na wengine kufungwa.siku za karibuni kumekuwepo na tuhuma za Mkuu wa mkoa wa daresalam kutumia vyeti kwa kufoji ambapo hakuna hatua yeyote ya kufuatilia au kutoa ufafanuzi juu ya tuhuma hizi.jambo hili linaonesha upendeleo au double standard kama serikali inaona vyeti si muhimu ni vyema ianze kuajiri kwa kuangalia utendaji na si vyeti na pia iwarudishe kazini wale wote wenye vyeti feki waendelee na kazi ilimradi iangalie utendaji wao.