Ni vizuri Rais wa Tanzania kuweka mali zake hadharani?

mkafrend

JF-Expert Member
May 12, 2014
3,047
1,503
Wanajf, salaam!
Hivi leo tukisema kila aliyewahi kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania au rais wa sasa wa Tanzania waweke mali zao HADHARANI ni yupi mwenye ukwasi mwingi???

Ni yupi anayependwa na wananchi?
Ni yupi asiyependwa na kwa nini?
Afanye nini ili kurudisha upendo??
Je, Tanzania ya viwanda inawezekana??

Mungu aibariki Tanzania!!
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe kama maji na moto. Hivi kuberi haijapigwa marufuku kweli?
 
Mali za viongozi ni ngumu kuzijua wanaficha maybe. Trust me hakuna haja ya kuyajua hayo kama nchi inakuwa na mabilionea wafanya biashara why rais Asiwe na hela. Deal ni nyingi Sana usipokuwa mwaminifu. Kwa nchi zenye demokrasia haya yanawezekana kufahamika mfano Mali za trump
 
Nani alikudanganya kuwa mali za Rais wa Marekani, Trump zinajulikana?

Trump amekataa hata kutoa Tax returns yake halafu unaleta porojo eti mali za Rais wa Marekani zinajulikana. This is fun to say the least!
 
Wanajf, salaam!
Hivi leo tukisema kila aliyewahi kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania au rais wa sasa wa Tanzania waweke mali zao HADHARANI ni yupi mwenye ukwasi mwingi???

Ni yupi anayependwa na wananchi?
Ni yupi asiyependwa na kwa nini?
Afanye nini ili kurudisha upendo??
Je, Tanzania ya viwanda inawezekana??

Mungu aibariki Tanzania!!
Sio kila ndoto unayoota unatikiwa kuileta JF.
 
Back
Top Bottom