Ni vitu vya aina gani unaweza kufanya ukatengeneza pesa kupitia mtandao au online kupitia smartphone yako

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,687
2,000
Heshima yenu washika dau wote wa Jf

Ebana kwa Mara ya kwanza nakuja kwenu pamoja na wenzangu ningependa kufahamu ni vitu vya aina gani au mambo Gani unaweza kufanya ili kutengeneza pesa online au kupitia mtandao kupitia smartphone yako ukatengeneza pesa.

Nawakilisha hoja.
 
Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
300
1,000
Kuna njia nane unaweza kutengeneza pesa online

1.njia ya kwanza ni AGENT REPRESENTATIVE

2.njia ya pili ni AFFILITATE MARKETING

3.njia ya tatu PRODUCT DELIVERY

4.njia ya nne ni ONLINE SUPPLIER

5.njia ya tano ni DUKA LAKO ONLINE

6.Njia ya Sita ni ADVERTISMENT SERVICES

7.njia ya Saba ni GROTH HACKING

8.njia ya nane ni Training

Sasa ili kupata fursa jitathimini wapi unaweza
 
Mar 12, 2019
58
125
hzo zote juu unaweza make hela ila ni mlolongo mrefu mnoo
wazo konki ambalo wengi hawafahamu ,tafuta developer mzuri wa mobile apps (hzi application unazoona playstore no body doing for free kukuwekea ww app ufurahie wanaingiza pesa) ...app nzuri status saver,funny video,then akiwekee matangazo either admob ,ambayo google ndio wanalipa,or fb ads,baada ya hapa saka download installs unazipata kwa kufanya promotion facebook unalipia matangazo(sponsored ads) naimain unakutana nayo sana insta... ukiinvest dola 10 jnapata 20+,nko kwnye game zaid ya miaka 10 ,kama upo mbeya unione ....sihitaji hata 10 yako msaada ni bure kikubwa uwe na mtaji wa kuboost app hako....
 
Mar 12, 2019
58
125
kama mtumiaji wa app naimani ushakutana na matangazo ndani ya app ,tangazo jingine lina popup...yani linaziba scrreen nzima ya simu ....
Screenshot_20201014-084828_Video%20Downloader%20-%20for%20Instagram.jpeg
Screenshot_20201014-084730_Dev%20Random%20Calling.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_20201014-084828_Video%20Downloader%20-%20for%20Instagram.jpeg
    File size
    30.3 KB
    Views
    0
Mar 12, 2019
58
125
ukiingia playstore ukitaka download app ya mtu utaona hapo juu CONTAINS ADS means kuna matangazo humo ndani yanayowaingizia pesa ,pia kuna option kama hutaki matangazo (ku wengine yanawakerea ) kuna option ya APP IN PURCHASE yan unalipia hela kidogo kwao then matangazo hutayaona
MWISHO:Hakuna mtu anaweka application playstore afurahishe mtu iwe games,status saver ,funny video,any thing else ....ni biashara za watu hzo ...
Screenshot_20201014-085308_Google%20Play%20Store.jpeg
 
samalanga

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
321
250
Heshima yenu washika dau wote wa jf

Ebana kwa Mara ya kwanza nakuja kwenu pamoja na wenzangu ningependa kufahamu ni vitu vya aina gani au mambo Gani unaweza kufanya ili kutengeneza pesa online au kupitia mtandao kupitia smartphone yako ukatengeneza pesa

Nawakilisha hoja
Njoo huku utengeneze pesa
Forsage,Weka namba out DM namba nikuunge group la mafunzo ya Forsage Digital Currency, Decentralized donation platform.
 
salaniatz

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,731
2,000
hzo zote juu unaweza make hela ila ni mlolongo mrefu mnoo
wazo konki ambalo wengi hawafahamu ,tafuta developer mzuri wa mobile apps (hzi application unazoona playstore no body doing for free kukuwekea ww app ufurahie wanaingiza pesa) ...app nzuri status saver,funny video,then akiwekee matangazo either admob ,ambayo google ndio wanalipa,or fb ads,baada ya hapa saka download installs unazipata kwa kufanya promotion facebook unalipia matangazo(sponsored ads) naimain unakutana nayo sana insta... ukiinvest dola 10 jnapata 20+,nko kwnye game zaid ya miaka 10 ,kama upo mbeya unione ....sihitaji hata 10 yako msaada ni bure kikubwa uwe na mtaji wa kuboost app hako....
Mimi nikiboost app naishia kupata ads saving restrictions...Cjajua kwa nini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom