Online Pastor
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,948
- 1,524
Miye ni msomaji mzuri sana.
Nimeshasoma maelfu ya vitabu,ila kati ya vitabu hivyo vipo ambavyo mpaka sasa najutia kuvisoma.
Vitabu hivyo ni hivi hapa chini na waandishi wake:
1)Fyodor Dostoevsky-huyu nimesoma karibu vitabu vyake vyote,ila kilichonibadilisha ni kile cha "The Brothers Karamazov" chenye shairi la The Grand Inquistor ndani yake.
2)Friedrich Nietzsche-huyu nae nimesoma karibu vitabu vyote ile kilichonivuruga ni kile cha "Thus Spake Zarathstura",ambacho kina mada ndogo ya "God is Dead"
3)Albert Camus-huyu hafai hata kidogo.
4)Jean-Paul Sartre-huyu nimevisoma vyote,ila kilichonitikisa kifarisafa na kiimani ni kile cha "The Flies"
5)Sulman Rushidie-Satanic verses-wale waislamu wakae mbali na huyu jamaa,kwani alishatangaziwa FATWA!
Kama wewe ni mkristo au mwislamu na una imani ndogo usiguse hao jamaa
ANGALIZO:
Hakuna ambae ashawasoma Fyodor Dostoevsky,Frierich Nietzsche,Albert Camus na Jean-Paul Sartre akabaki salama.
Ebu na wewe tuambie na vya kwako...