Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Baada ya kura za awali za Jumamosi, hususan katika Jimbo la South Carolina, kuna kila dalili kwamba Donald Trump anaweza kushinda uteuzi wa Chama cha Republican kugombea urais huku dalili kama hizo zikionekana pia kwa Hillary Clinton anawania kuteuliwa kupitia Democratic.
News Analysis: Trump vs. Clinton matchup looking more likely after Saturday's votes
News Analysis: Trump vs. Clinton matchup looking more likely after Saturday's votes