Ni vita ndani ya CCM

Waimba litania njooni mjitathmini... Muongeze na mafungo na hija ...

Watakatifu wote mtuombee.
 
Acha kulia lia kwani mlivyokua mnaingia ccm mliahidiwa vyeo??kila MTU akiwa kiongozi Nani atakua mwanachama...ukitaka uongozi basis anzisha chama chaki
 
Duh! Tatizo wamezoea kupewa kanga, fulana, kofia na kula ubwabwa tu, vichwani hamna kitu....

Ole Mushi butua uwakomboe wenzio....

Vifutu wanatia huruma mno
 
Wewe Ole Mushi hujui tu, sio kila mwanaccm lazima ateuliwe kuwa DC, wengine huku tunapewa shavu la kukimbiza mbio za mwenge, wengine tunapewa kazi za kuprint na kusambaza kadi feki a chadema ili baxae tusambaze video za kurubuni watu.

Vijana wengin tumekabidhiwa SMG kwa kazi za wasiojulikana yote haya ni MAVYEO TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…