Ni vipi vitabu vizur vya physics?

isiaka6

Member
May 9, 2013
67
7
wana Jf naomba kujuzwa ni vitabu/kitabu gani vinafaa/kinafaa kwa somo la physics kwa mwanafunz wa kidato cha tano?.Naombeni msaada wenu wote.
 
Samahani wakuu hicho kitabu cha chand third edition kinauzwa shiling ngapi?.naombeni msaada wenu.
 
Samahani wakuu hicho kitabu cha chand third edition kinauzwa shiling ngapi?.naombeni msaada wenu.

kama upo mwanza ni pm nitakufanyia 35,000, bookshop ni 45,000!
Unaweza kunilipa robo tatu nyingine utalipa baadae.

Napenda vijana wanaojisomea!
 
Anza na chand one au comprehensive physics(ile original sio ile ya kiboya ya Kiiza) then chukua Nelkon na Roger.Ukishakomaa kichwa waweza soma hata U.P.Usisahau na tupast paper asee.
 
hizo nelkon, chand, up & roger muncaster tulikuwa tunatumia miaka ya 90-2000 ifunda tech, kumbe mpaka leo bado mnatumia duuh! kweli hatuna mtaala.
 
Back
Top Bottom