Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,369
- 1,169
Nimekua na interest ya uchoraji (hasa wa cartoons) baada ya kupata simu moja hv aina ya Samsung Galaxy Note 4.
Zile ambazo hua zinakua na kikalamu cha kuchorea wenyewe wanaita S-pen. Nmekua nikicheza sana na haka ka kalamu kwa kujifunza kuchora cartoons za picha za watu sasa kitu kimoja nimekua nikijiuliza kuna chochote naweza kufanya kupitia ku chora cartoons ambacho kinaweza kuniingizia pesa?
Hasa kwny soko la digital arts? Sina uelewa sana na haya mambo je, hii biashara ya kuuza digital arts inafanyikaje na je, inalipa...?? Naombeni michango yenu wadau!