Ni vipi mwanafunzi asome huku kujitafutia ajira?

Mi ninavyojua kuanza kuseti michongo ya ajira inaanza pale unapokuwa field mwaka wa kwanza,wa pili ndio unatakiwa uwe na ushiriano zaidi,na ule mwaka wa mwisho ndio ushirikiano unahitajika zaidi,ufahamu wangu ulipoishia hapo
 
Issue sio kutafuta ajira, issue ni hizo ajira zipo?
Watu weusi tuna matatizo ya kukimbia uhalisia wa mambo, kama hatuna viwanda wala miradi yeyote ya maana inayoanzishwa hizo ajira zitatoka wapi?
 
Ni kweli kabisaa. Tukubali kwamba hakuna ajira. Mimi wakati nasoma kulikiwa na Mwanafunzi mwenzetu yeye alikuwa anafuga nguruwe. Alovyomaliza akaendelea na mrado wake.
Mwingine alikuwa anafanya bodaboda.
 
Ni kweli bila kujiongeza kwenye mambo yako mwenyewe ni kazi bure.
 
Mi ninavyojua kuanza kuseti michongo ya ajira inaanza pale unapokuwa field mwaka wa kwanza,wa pili ndio unatakiwa uwe na ushiriano zaidi,na ule mwaka wa mwisho ndio ushirikiano unahitajika zaidi,ufahamu wangu ulipoishia hapo
Inaonyesha dhahiri Bado upo chuo ukweli ni kwamba kupata kazi ni kazi (4+4 mtaani sio 8) certificate mnazokuwa awarded matumizi yake ni machache kuliko

Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom