Ni vigumu sana kumpata kweli

Ni vigumu sana kumpata kweli

Hiyo #4 bila shaka ulikutana na wife wangu akakuelezea kuhusu mimi.
 
Finding the one that you were meant to be as per your words defines to dating one's self.
Hahahaaaa... Umenchekesha. Au umzae ...


Lakini kila mtu ana tunda lake mahalli Mwenyezi Mungu kamuandalia. Shida ya binadam ni kiherehere. Tunaparamia machaguo yasio yetu..

Tuwe na subira... Tusubiri itwa.
 
Usikate tamaa. Mbona inawezekana. Jipange tu.
 
Really..!!! Waweza vumilia umaskini???

Kwani umasikini ni nini kama sio subjective?!
Mapenzi kwanza vingine ni matokeo..., umasikini sio ugonjwa ndugu yangu..., akijiongeza nae anaweza akajiweka kwenye ramani ya dunia!!
 
Madem ni hvyo hvyo...na kama huku mbikiri ww....sahau kabisa.
 
Back
Top Bottom