NI VEMA KUOA KABLA YA KUFANYA NAE MAPENZI?

NI VEMA KUOA KABLA YA KUFANYA NAE MAPENZI?

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,712
Reaction score
1,661
Hivi ni sawa kuoa kabla hujafanya mapenzi na mwenzi wako? Je ukikuta yuko tofauti na ulivyotegemea utafanyaje?
 
Matatizo mengi sana, sisemi yote tungeyaepuka kama tungeweza kulitekeleza hilo.
Ungetegemea kitu gani wakati na wewe ungekuwa mupya kabisa?
 
Matatizo mengi sana, sisemi yote tungeyaepuka kama tungeweza kulitekeleza hilo.
Ungetegemea kitu gani wakati na wewe ungekuwa mupya kabisa?
Kuna uwanja wa mazoezi na mke kuoa..
Mke wa kuoa lazima awe bint bikira...

Wanaume wengi tumeoa wake za watu.
Wake za watu ni wale waliotolewa bikira kwa kuingiliwa na wanaumea amba hawakuja kuwaoa.

Mke wa kimwili na yule wa kiroho.
Mke wa kimwili hatosheki na ngono na ni ngumu kumfikisha kileleni.
Mke wa kiroho simaanishi majini ndotoni
Bali waliotunza bikira hadi ndoa.
Niishie hapo.

Mke uwanja
Mke wa thamani bikira....

Pole kwa wale ambao walipoteza bikira zao za kiume na kike kwa kubakwa
Mume bikira anafaa sana
 
Kwahyo mkuu utafanyaje sasa kama ukikuta yuko tofauti?
 
Kiufupi uasherati, zinaa na uzinzi ni dhambi (kutoka vitabu vya dini)
Ila kwa sasa wanadamu hawaitambui kama dhambi ila wameipa majina mazuri kama vile;-
Shake well before use (uasherati)
Practice make perfect (Uzinzi & Uasherati).
 
Back
Top Bottom