Kuna bomba la maji limepasuka Arusha Kata ya Oloiren Mwanama Reli Kibaoni.
Taarifa ilitolewa tangu mwezi mei kwa simu lakini mpaka leo hakuna hatua zozote zimechukuliwa.
Maji yanavuja na barabara inaharibika
Soma Pia: Nipo nje ya mji, nyumba imefungwa Kata ya Olorieni - Arusha lakini bili ya maji imekuja Sh 26,000
Mamlaka ya Maji inapoteza mapato na raia wanakosa maji
Huu ni Uzembe au kukosekana uwajibikaji?