Kuna bomba la maji limepasuka Arusha Kata ya Oloiren Mwanama Reli Kibaoni.
Taarifa ilitolewa tangu mwezi mei kwa simu lakini mpaka leo hakuna hatua zozote zimechukuliwa.
Maji yanavuja na barabara inaharibika
Soma Pia: Nipo nje ya mji, nyumba imefungwa Kata ya Olorieni - Arusha lakini bili ya...
Kuna tatizo la maji katika jiji la Arusha eneo la Njiro tangu jana mchana mpaka leo. Sijui kama ni kwa eneo ambalo nafanyia kazi au na maeneo mengi ya jiji.
Hebu mamlaka husika ilifanyie kazi.
cc Wizara ya Maji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.