Mi nadhani kuwa na 'market information' ni muhimu ili kukwepa hiyo moral hazard. Ninachojaribu kusema hapani kwamba inatokea hali, kwa ajili ya asymetrical information, mtu anaingia mazima mapenzini, anawekeza hisia zake zote. Kibiashara , hili lipo pia ijapokuwa linaweza kuepukika kwa kufanya utafiti wa kutosha. Wengi wetu tunakuja kufanya utafiti 'tumeshafilisika' na hatuwezi tena kurecover hata tukipewa stimulus package...au sio