Ni utoto na ulimbukeni pia,mtu mama yako wala baba yako hawamfahamu,unamweka kwenye profile then unaandka na status... mi nadhani hii inategemeana na parenting style ya mweka picha pamoja na heshima ya wazazi wa huyo mweka picha,kama mtu familia yako ni ya heshima huwezi kufanya hivyo,na hii itaendelea tu kwasababu hivi ninavyoandika kuna mtu anabalehe au kuvunja ungo,na kwa hali hiyo,labda anajaribu kuweka..